Swali la msingi ni kwamba; je, hiyo form four yake imemuwezesha kuwahenyesha manyumbu au imeshindwa?!!! Kama imemuwezesha kuwa Kiboko ya manyumbu basi hivyo ndivyo tunavyotaka watanzania wazalendo na 2030 tutamleta form four mwingine amalizie palipobaki.