Utamjuaje mwanamke mruka ukuta?

Dah,,, wabongo kwa kujadili ujinga,,,,,, ila ukiweka uzi wa maana huoni hata wa kupita,,,,,
This is very serious Mkuuu... Ukitoka madawa ya kulevya kwa vijana.. Kitu kingine cha kinyume na maadili kinachosumbua vijana ni hiki...
 
Siyo wote tuna roho mbaya .kama unavyosema watu wanaambiana kuwa ni nzuri sana kufanya huko.sasa kila mtu anataka kujaribu.haya ukija kwa nyie wakina Dada mko bize masaa 24 kuhakikisha makalio yanaonekana na hata kujitengeneza na madawa ili iweje? Hapa wote wana makosa wanawake kwa wanaume.japo naamini wanaume ndio tuna uwezo wa kubadilisha mawazo ya wanawake kuhusiana na tabia hiyo chafu.
Kabisa mkuu
 
Chukua basi lako liweke getini kwake, kama halijatolewa tangazo ''usizibe geti'', au wakati mwengine anaweza kukufungulia geti kidogo. Ingiza basi lako ndani, shusha mizigo ndani, ukimaliza unarudi rivasi mdogo mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom