duh! hakuna ata tips kidogo?Huwezi ukamfahamu Mkuu ikiwa amefikisha muda kidogo tangu atoe mimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda akwambie mwenyewe
asante sanakumfamhamu ni ngumu, labda kama siku kadhaa baada ya kutoa hua akipima vipimo vinaonesha mimba ipo..... lakini baada ya muda kupita kutambua ni ngumu
sawa mkuu.Huwezi kumjua. Kikundi cha madaktari tanzania tunalifanyia kazi hilo suala
what cuteaaah we
sijajua why but ni mtazamo wako tu