Ni viashiria vipi vya kuthibitisha kua huyu ndiye na huyu ni kapi?Wasanii wamekua wengi hasa ukiwa na pesa unalambwa hadi miguu.Nani ni mke mwema jamani?
Ni kweli ukiwa na pesa mwanamke anajifanya anakupenda wanawake wengi wasanii ila kama mtaanza maisha ya kawaida halafu mungu akawapa neema ni sawa wanaume kuweni macho kumpata mtu sahihi