Utamfahamu vipi mtu anayeomba urafiki kwenye mtandao wa kijamii?

waterproof

JF-Expert Member
Aug 14, 2020
387
348
Mtu fulani alinitumia ombi la urafiki – lakini simfahamu mtu huyo, napaswa nifanye nini?

Wakati mwingine watu hupenda kuwa na mawasiliano ya kimtandoa na marafiki wengi katika mitandao ya kijamii hivyo watu hao hutuma maombi mengi ya urafiki kwa watu wasiowafahamu.

Kabla hujakubali ombi la mtu unapaswa kwanza kupitia profaili (sifa) zao – jaribu kubaini watu hao ni akina nani. Kuna marafiki zako . Wanaowafahamu? Mnatoka katika mji mmoja?

Usiwakubalie maombi yao kama hupo tayari kushirikiana nao taarifa zako binafsi.Usijione kama unalazimishwa kufanya hivyo.

Hakikisha unakoweka taarifa zako binafsi ni salama ili mtu wa aina hiyo asiweze kuzipata endapo hupendi azipate.

Zingatia pia kuwa wakati mwingine katika intaneti watu hudanganya ili waonekane tofauti na walivyo.
 
Kajifunze Kiswahili kwanza ndiyo ulete mada hapa.

Back
Top Bottom