Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
MEDIATEK ni aina ya processor za simu zinazotumika kwenye simu fake na baadhi ya simu original, hizi ni processor dhaifu ndo maana ukikuta simu inatumia inakuwa haiuzwi bei mbayaMEDIATEK ni nin mana wengne mnatuacha njian mkubwa
kama zinafanana maana yake ni originalnilidownload na nilipolinganisha sehem zote ikawa inaeka tiki. Maana yake nin apo mkuu ?
iyo code ktk sim yang imekubal*#0011#, hyo ni SERVICE MODE na hakuna cmu ya kichina inayosupport service mode... bt hata kwa kuangalia samsung copy na original unaweza kuzitambua. camera quality, startup logo.. na utakapo connect cmu yako kwenye Pc angalia ni drivers zipi itakuwa ina install
nliingia ktk website ya TCRA na kuingiza IMEI za sim yang wakanletea majib ya mahala ilipotengenezwa ni Korea pia ilionyesha taarifa nyinginezoNjia Rahisi kutambua hizi Simu kwa mtu asiyekua na Uelewa nazo
-Camera Quality
-Uzito wa Simu Wanavyotoa Simu Makampuni kama SAMSUNG, Apple Simu zao huwa zina Uzito Maalum.
Utahitaji Mizani Midogo kupima gram zake
Narudia Samsung ni very hard kuzitambua Mimi niliona Clone Moja Daah ina Gorillar Screen kabisa nikaja kugundua kwenye Uzito na Ubora wa Camera na Samsung Zilizotengenezwa Malaysia au Korea ndo Original
Epuka Simu Iliyoandika Made by Samsung.
Hii code imekubal na nmefanya test zote ikakubal*#7353#
hapo umenena CPU-Z ... Samsung kuanzia s 2 kuja juu zote hazitumii MEDIATEK, Hivyo kwenye chip nikikuta Mediatek tu sinunui
Kuongezea Kwenye Point ya Alibakari, Ukweli ni kwamba unatakiwa kuwa muangalifu sana watengenezaji wa simu feki wameshajua kuwa watu wengi wanangalia simu fake kwa kutumia code hizo hivyo zipo simu fake zenye kuonyesha code hizo lakini kwa kuangalia tu kwa macho yako pamoja na kuongezea na test alizotaja Alibakari unaweza kupata simu original.Kwa mfano ukiangalia kwenye picha hapo juu utaona utafauti ambao unaweza kuona kwa haraka kwa kuangalia namba zilizo wekwa kwenye picha.
1. Kioo kinakuwa na mwanga hafifu na kinakuwa kimetengenezwa kwa plastick au glass ya bei rahisi.
2. Upana wa kutoka kioo mpaka ukingo kwenye simu feki unakuwa ni mkubwa sana
3. Kioo kinakuwa akina mwanga wa kuosha au kinakuwa na mwanga hafifu
4. Utakuta kuna baadhi ya Sensor ambazo hazifany kazi (hivyo ni vizuri kufuata hatua za alibakari ili kujua kama senseor zote zinafanya kazi)
5. Kibonyezo cha katikati (home botton) kwenye simu feki kinakuwa hakiko mahali kinapotakiwa
6. Logo ya samsung unapoigusa kwa kidole kwenye simu feki utaisikia kabisa ikikwaruza kidole yani haitakuwa smooth
Hayo tu ni machache ni vyema kuwa makini kwani njia hizi sio kwamba ndio zinaonyesha moja kwa moja hivyo ni vyema kuwa makini. Pia unaweza kuingia kwenye ukurasa huu wa TCRA kisah weka imei namba na utapata jina la simu kama itakuletea tofauti basi hiyo simu ni feki.
NATUMAINI ITAKUWA IMEKUSAIDIA
Mkuu nenda imei.info uingize imei husika italeta simu husika kama sio jua sio
hii sio cpu-z
Samsung Tablet S, SM-T7045 inastack, kioo giza lakini iko on wapi kuna mafundiTembelea duka la Samsung lilipo karibu nawe kwa msaada zaidi..Ahsante
Nenda kariakoo stand ya jamani ya magari ya mbagala kuna duka la Samsung paleSamsung Tablet S, SM-T7045 inastack, kioo giza lakini iko on wapi kuna mafundi
Nisaidie jamani, stend hiyo iko sehemu gani nielekeze pleaseNenda kariakoo stand ya jamani ya magari ya mbagala kuna duka la Samsung pale
imei unaipata je, msaadaNjia pekee ninayoiamini kuchek simu za Samsung ni thru imei kupitia google search unaandika imei.info kwa sababu gani Nina iamini?
Kwasababu kama simu ni clone au copy imei yake haitosoma pale itaandika invalid imei
Unajua hii sio,lakini original Samsung ukishamaliza tarakimu zote za imei inafunguka na kukula specification za simu yako....ikiwemo mahala ilikotengenezwa,muda na time,ram,Internal memory na taarifa zingine. Only this way,bcoz kuna copy ambazo code nyingi zinakubali so unajikuta umebeba famba lako mwenyewe ukijua ni Og
Nadhani alimaanisha pale k.koo palipokuwaga na round about au mbele ya kituo kikuu cha mwendo kasi cha gerezani. We shostito relato hebu njoo huku basi naweeeee. Qhkaaa,unasaidia mtu halafu unaingia chaka Ndio nn. C'mon watoto kazuri kenzangu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nisaidie jamani, stend hiyo iko sehemu gani nielekeze please
*#106# kama sikosei.imei unaipata je, msaada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua wewe upo wa Ku back up. Asante shoga angu. Retired hayo hapo maelekezo mie siwezi kuelekeza vizuri.Nadhani alimaanisha pale k.koo palipokuwaga na round about au mbele ya kituo kikuu cha mwendo kasi cha gerezani. We shostito relato hebu njoo huku basi naweeeee. Qhkaaa,unasaidia mtu halafu unaingia chaka Ndio nn. C'mon watoto kazuri kenzangu [emoji23] [emoji23] [emoji23]