hapanaHuyo mtoto wa kwenye avatar yangu..hahaha
Natania mkuu..ngoja wajuz wajehapana
Huyo mtoto wa kwenye avatar yangu..hahaha
dogo tuhivi huyo kwenye avatar yako ni mtu mzima ama mtoto
dogo tu
Hahaha sawa mkuukwa mtazamo wangu huyo hawezi kuwa dogo
Uko sahihi mkuu, huyo ni Rosalinda na anamuwakilisha shetani!!huyo aliembeba huyo dogo! anaitwa rosalinda celentanio ni muitalia jinsia ke amecheza kama shetani kwenye hiyo movie ya the passion of the christ huyo mwengine simjui!![]()
Kama shetan akiwa amebeba mwanaeHao ni akina nani sasa, yaani wamesomeka kama kina nani?
Sahihi kabisa!!Kama shetan akiwa amebeba mwanae
Ngoja niistream nowSahihi kabisa!!
Kwa mujibu wa filamu husika hilo ni miongoni mwa majaribu kwa Yesu yaliyofikishwa kwa njia ya kejeli kana kwamba shetani amwambia Yesu:-
"Baba yako kakutelekeza!! Ona jinsi baba amepaswa kumpenda mwanae" na kile kitoto cha shetani ndio kinazidisha mbwembwe za tabasamu dizaini ya kicheko.
"Mkufuru Baba yako na haya mateso yatakoma mara moja"
Yesu ikiisha kwisha kuijua hila ya shetani aligeuza kichwa sura ikageukia upande mwingine na kitambo kidogo mateso yaliongezeka sana ikiwa ni ishara na shinikizo la shetani aliyewaingia watu.
Kama una cha kutushirikisha usisite, Karibu.