Utambuzi tafadhali

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,320
Screenshot_20170606-213928.jpg

Huyu aliyebebwa ni nani?
Sii vibaya mkimtambua na huyu baba aliyembeba!!!!
 
hao ni waigizaji wa muvi ya mateso ya yesu.
inaitwa THE PASSION OF THE CHRIST
 
huyo aliembeba huyo dogo! anaitwa rosalinda celentanio ni muitalia jinsia ke amecheza kama shetani kwenye hiyo movie ya the passion of the christ huyo mwengine simjui!
220px-Rosalinda_Celentano.jpg
 
Hahahahaha hlo jicho utazan anatazama makinikia yaliyozuiliwa na baba jesca
 
huyo aliembeba huyo dogo! anaitwa rosalinda celentanio ni muitalia jinsia ke amecheza kama shetani kwenye hiyo movie ya the passion of the christ huyo mwengine simjui!
220px-Rosalinda_Celentano.jpg
Uko sahihi mkuu, huyo ni Rosalinda na anamuwakilisha shetani!!

Sasa unaweza kutuambia hiyo scene ikimaanisha nini kwa hadhira!!
 
Kama shetan akiwa amebeba mwanae
Sahihi kabisa!!
Kwa mujibu wa filamu husika hilo ni miongoni mwa majaribu kwa Yesu yaliyofikishwa kwa njia ya kejeli kana kwamba shetani amwambia Yesu:-
"Baba yako kakutelekeza!! Ona jinsi baba amepaswa kumpenda mwanae" na kile kitoto cha shetani ndio kinazidisha mbwembwe za tabasamu dizaini ya kicheko.

"Mkufuru Baba yako na haya mateso yatakoma mara moja"

Yesu ikiisha kwisha kuijua hila ya shetani aligeuza kichwa sura ikageukia upande mwingine na kitambo kidogo mateso yaliongezeka sana ikiwa ni ishara na shinikizo la shetani aliyewaingia watu.

Kama una cha kutushirikisha usisite, Karibu.
 
Ngoja niistream now
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom