hamukoko
Member
- Mar 16, 2011
- 34
- 10
[h=3]Semina Ubungo Plaza... watu wakaanza kujitambulisha, Wa kwanza: Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. Wa pili: Mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION. Wa tatu: Kwa kusuasua sana huku akijishtukia, mimi naitwa Paul niko TANESCO mwaka wa4 nasoma MITA!![/h]