Utambulisho

Nauman

New Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
2
Reaction score
1
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu la hekima za nchi yetu, naomba mnipokee
 
Karibu hadi chumbani huku kuna kakakiiza ni nimtunza funguo za vyumba ukifika mwambie gender yako akuonyeshe vyumba vya gender yako asije akakupeleka kwenye manyang'au bure!!Kuna Mpwa wangu anafahamika The Finest,N dada yako AshaDii,CDanzi wote nindugu karibu!!Bila kumsahau FaizaFox,Bujibuji,Lat,Jrated,Sijui ni wifi au shemejio kwakuwa haujaniambia Gender kubali yote anaitwa Preta,Mwanajamii1 wote wanakukaribisha sana!
 
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu la hekima za nchi yetu, naomba mnipokee

Karibu karibu jisikie huko nyumbani
 
karibu tujumuike pamoja jamvini.
 
Hodi hodi wana jamii forum mimi ndungu yenu nimekuja kuungana nanyi katika kusukuma gurudumu la hekima za nchi yetu, naomba mnipokee

Karibu mkuu, mimi naitwa Mwita Chacha Werema mtu ninayeshika namba 2 kwa umaarufu JF (ukimtoa Invisible)
 
Ahahahaaah!! Kamtembeze kidogo mgeni kwenye chumba cha siasa.
 
Karibu ndugu. Ukiwa na tatizo niPM natoa huduma ya maombezi pia.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…