Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
Karibu jamvini. Unatumia kinywaji gani Husninyo akuletee?
Karibu utapimwa kwa michango yako on-board!Mama,baba dada na kaka shkamooni na poleni na majukumu yenu. Nimeamua kufanya uamuzi wa kujiunga nanyi ili kuelimika na kuwa na ufahamu zaidi kwani palipo na "great thinker" kuna elimu iletayo maarifa. Naomba kwenu wakubwa zangu pale nitakapokosea mniadhibu kwa upendo bila upendeleo.
Nawasilisha.
karibu sana
Karibu kaka. Unaundugu na voiceofreason? lol
Usisahau kuingia post ya invisible inaitwa how to use jamiiforum effectively. Kila nikiisoma nagundua kitu kipya.
karibu sana....
nishampa azam cola. Kalipe bili.
Lol..umeanza Husn' si ulipe wewe!