Hahaha
Mode umetumia mvinyo au
Hawakuufuta.
PoleAcha tuπππ
πππMkuu usinifanyie hivyo tafadhaliπππ
Hivi haukuwaga class ya 16/17 humu jukwaani? Au majina yanafanana?πππdah
Ahsante mkuu
π ππ Okay poa nakumbuka nilishawahi kukutana na Ledada kwenye nyuzi za Entertainment mara kibao 2016/2017, ndiyo nikashangaa inakuwaje unafanya utambulisho 2019.Ndo mimi mkuu, huu uzi pia ni wa muda ni kama umefukua kaburiiπππ