Kama ilivyo mimi ni mgeni mwenyezi humu ndani.
Kama ilivyo kawaida yangu kila nikibadisha cheo hapo JF hua nakuja kujitambua tena.
Hivyo nilichelewa kujitambulisha ila JF mwenzangu kaniambia nifanye hivyo kama kawaida yangu kwa hiyo nipokeeni tena.
Kwa sasa ni
verified member wa
JamiiForums
Shukuru sana wakuu.
Kwako
Toffy_boy nahisi utambulisho tayari
Wako
Emmanuel Kasomi