Utamaduni wa zawadi unatupeleka wapi

Utamaduni wa zawadi unatupeleka wapi

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,286
Reaction score
1,420
Watanzania kuna huu utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu binafsi sijui unalipeleka Taifa letu sehemu gani.

Tumeshuhudia hivi karibuni majenerali wastaafu wakizawadiwa magari, Mama Kanumba kapewa gari na Rais, na wengine kama vile wanamuziki wa zamani wanapewa hela.

Je, kila brigedia generali akistaafu atapewa gari.

Mantiki nzima ya kutpa magari kwa hawa wastaafu siielewi. Watanzania tuna wastaafu wengi sana wengine mpaka wanaingia kaburini hawajapewa mafao yao baada ya kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa sana
 
Mwache atapanye tu mali zetu lakini adhabu ya kuua Watanganyika zaidi ya 10,000 iko pale pale.
 
Watanzania kuna huu utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu binafsi sijui unalipeleka Taifa letu sehemu gani.

Tumeshuhudia hivi karibuni majenerali wastaafu wakizawadiwa magari, Mama Kanumba kapewa gari na Rais, na wengine kama vile wanamuziki wa zamani wanapewa hela.

Je, kila brigedia generali akistaafu atapewa gari.

Mantiki nzima ya kutpa magari kwa hawa wastaafu siielewi. Watanzania tuna wastaafu wengi sana wengine mpaka wanaingia kaburini hawajapewa mafao yao baada ya kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa sana
Fazafaka wa Kizimkazi is an idiot. Nchi ina namna yake bora zaidi ya kutambua michango ya raia wake. Ifuatayo ni mifano:

National Orders for Civilians

High-level honors include orders that recognize distinguished merit or service to the state:
  • Order of the Torch of Kilimanjaro (Nishani ya Mwenge wa Uhuru): Awarded to Tanzanian citizens and foreign heads of state for distinguished merits. It is divided into four classes.
  • Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: A top-tier order named after the nation's founding father.
  • Order of the United Republic of Tanzania: A general order for significant national service.
  • Order of the Arusha Declaration: Awarded in three classes to recognize contributions related to the nation's foundational socialist principles.
Civilian Medals by Category

The Tanzanian government awards specific medals for excellence in professional or civic life:
  • Medal of Invention and Scientific Research (Nishani ya Ugunduzi na Utafiti wa Kisayansi):For scientific innovation.
  • Medal of Arts and Sports (Nishani ya Sanaa na Michezo): For achievements in culture and athletics.
  • Medal of Excellent Production (Nishani ya Uzalishaji Mali Bora): For high-quality economic contributions.
  • Medal of Long Service and Ethical Conduct (Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema):For long-term public service.
  • Medal of Environmental Care (Nishani ya Utunzaji wa Mazingira): For conservation efforts.
Commemorative and Historical Medals

These celebrate major national milestones:
  • Tanganyika Independence Medal (1961): Marked independence with a distinct civil ribbon.
  • Medal of the Republic (1964): Features a distinct ribbon with green, blue, and yellow stripes.
  • Medal of the Revolution (Nishani ya Mapinduzi):For contributions to the Zanzibar Revolution.
  • Medal of the 50th Anniversary of Independence:A modern commemorative award.
 
Vipi walimu wa shule za msingi na secondary wanapewa wastaafu?
 
Watanzania kuna huu utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu binafsi sijui unalipeleka Taifa letu sehemu gani.

Tumeshuhudia hivi karibuni majenerali wastaafu wakizawadiwa magari, Mama Kanumba kapewa gari na Rais, na wengine kama vile wanamuziki wa zamani wanapewa hela.

Je, kila brigedia generali akistaafu atapewa gari.

Mantiki nzima ya kutpa magari kwa hawa wastaafu siielewi. Watanzania tuna wastaafu wengi sana wengine mpaka wanaingia kaburini hawajapewa mafao yao baada ya kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa sana
serikali sikivu ya CCM kamwe haitaacha kutoa zawadi kwa wananchi wake, bali itaendelea kutoa tunzo na zawadi mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa waTanzania wote bila kujali chuki na mihemko ya mamaluki malofa wa mabwenyenye ya magharibi.

zawadi kama SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere, Shirika la ndege-Air Tanzania, Shule, Vyuo, Mahospitali, masoko na miundominu yote unayoifahamu wewe nchi nzima ni zawadi za serikali sikivu ya CCM kwa wananchi wote.
 
Back
Top Bottom