UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU HASA VYA HADITHI NA WATOTO.

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,709
23,644
Utamaduni wa kusoma vitabu unajengwa!
Na unajengwa utotoni!! MTOTO ALIYEZUNGUKWA NA MATINI ZA KUJISOMEA ANA TOFAUTI KUBWA SANA HATA NAMNA YAKE YA KUFIKIRI NA KUJIELEZA!! Mzazi /Mlezi naomba nikushirikishe FAID/SABABU ZA KUKUHAMASISHA UANZE UTARATIBU HUU NYUMBANI KWAKO.

SABABU 10 KWANINI USOMAJI WA VITABU VYA HADITHI NI MUHIMU KWA UKUAJI WA MTOTO.

1. KUSOMA NI KUISHI
.
Maandishi hayafi, hivyo HIVYO na mwanadamu anayesoma maana anaishi na maandish anayosoma.
WATOTO wanatengeneza dunia ya WATOTO kupitia maandiashi. PICHA, VISA,MATUKIO,MIUNDO NA MAUDHUI YA HADITHI ZA WATOTO NI MAISHA HALISI KUPITIA WAHUSIKA NA LUGHA WANAYOIELEWA WATOTO.
Picha za Wanyama,vyakula, toys, NDIYO LUGHA SAHIHI YA MTOTO NA VITABU VYA WATOTO VINA MATUMIZI YA VITU HIVI KWA KIAIS KIKUBWA.

2. KUSOMA HADITHI KUNAPUMZISHA AKILI

Kusoma vitabu VYA HADITHI Ni rahisi KULIKO kutizama Tv. Tv inahusisha kazi zaidi KWA mishipa ya KICHWA KULIKO USOMAJI wa vitabu. Karatasi za vitabu Ni RAFIKI kwa afya ya macho KULIKO kutizama Tv.

3. KUSOMA HADITHI KUNAONGEZA UMAKINI.
Kitendo Cha mtoto kushika kitabu na KUTAZAMA picha na mwandishi kinaongeza umakini na Kama akifanya mara kwa Mara, atajenga TABIA ya umakini kwenye kuzungumza na kuandika.

4. KUSOMA VITABU VYA HADITHI KUNAFUNDISHA WATOTO KUHUSU DUNIA INAYOWAZUNGUKA NA NYINGINE MBALI YAO.

Msomaji wa vitabu husafiri akiwa amekaa.Mtoto atajua mazingira yake na MENGINE MBALI yake kupitia haditji na USOMAJI wa vitabu vingine

5. KUSOMA VITABU VYA HADITHI KUNABORESHA STADI ZA LUGHA!

Mtoto aliye msomaji wa vitabu VYA HADITHI atamudu stadi za lugha kwa HARAKA zaidi, msamiati wake utaimarika, ufasaha wa USOMAJI utaongezeka lakin pia ataweza kusoma kwa ufahamu.

6. KUSOMA KUNAIMARISHA UWEZO WA MTOTO KUWAZA MWENYEWE NA KUTENGENEZA PICHA KICHWANI
.
Mtoto anaposoma hadithi na matini nyingine anaimaeiwa UWEZO wa kufasili anachosoma, ANAWEZA kufasili maelezo ya KUHUSU watu, mwonekano, mahali na half tofauti. VITABU VYA HADITHI ZA WATOTO VINA PICHA NYINGI KULIKO MAANDISHI. Hii ni kuimarisha UWEZO wake kuwaza na kujitengenezea TAFSIRI kichwani.

7. KUSOMA VITABU VYA HADITHI NI BURUDANI.

Burudika na mwanao kwa kumrithisha tabia ya USOMAJI ili amudu STADI ZA USOMAJI.Na Ni URITHI WA MILELE.

8.KUSOMA VITABU VYA HADITHI NA MTOTO NI NJIA NZURI YA KUTUMIA MUDA PAMOJA NAYE
. Zaidi ya kuwekeza KUMBUKUMBU KATIKA ukuaji wake Bali UNAMFUNDISHA NIDHAMU YA KUJALI MUDA, NIDHAMU YA KUWA NA WAKATI BINAFSI NA NIDHAMU YA KUJIONGOZA.maana USOMAJI WA VITABU NI NIDHAMU YA MAISHA!!

9.KUSOMA VITABU VYA HADITJI NA WATOTO KUNAFANYA UKUE PAMOJA NAO. Unaposoma utalazimika kuwa mtoto naye atajifunza KUTOKA kwako. Utasoma kwa namna yake ya KUELEWA, kuigiza sauti zilizopo hadithini. HII INAONGEZA KUJIAMINI NA KUJIONA SALAMA MAANA ANAJUA KUNA MUDA BABA/MAMA / MJOMBA/ SHANGAZI anakuwa Kama Mimi!!

10.KUSOMA VITABU VYA HADITHI NA KUNAONGEZA UFANISI SHULENI
Mtoto aliye RAFIKI na vitabu, anaelewa HARAKA na kubakiza KUMBUKUMBU ya anachofundishwa. USOMAJI unahifadhi KUMBUKUMBU. UWEZO HUU HAUISHII KWENYE HADITHI PEKE YAKE. Utaenda mpk kwenye masomo mengine ya mitaala.

#MPEMTOTOKITABU#
#SOMANAMTOTOKITABU#
#MRUHUSUMTOTOAFIKIEKITABU#

UNAHITAJI NIA MUDA WAKO ANGALAU DK 20 KILA SIKU ILI KUSOMA NAE. BAJETI ANGALAU KWA MWEZI SHILINGI 20,000 KUWEZA KUNUNUA VITABU ANGALAU VINNE KWA MTOTO WAKO.
UKIWEZA NUSU YAKE PIA SI MBAYA, LA MUHIMU NI

TAMBULISHA NA WEKEZA MUDA WA MTOTO WAKO KWENYE USOMAJI WA VITABU!!

IWAPO HUNA ACCESS YA MAHALI PANAPOUZWA VITABU VYA WATOTO NICHECK PM!!
LENGO NI KUKURAHISISHIA UPATIKANAJI.
 
Attachments

  • images (87).jpeg
    images (87).jpeg
    10.2 KB · Views: 35
Not many people know that- D. J .Trump

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hebu recommend vitabu vya hadithi vya mtoto wa kiume chini ya miaka 10 niwe nawaburudisha vijana wangu na masimulizi
 
Asante mkuu, sema siku hizi changamoto ni utandawazi. Hadithi anazipata kwenye movies na cartoon za kwenye luninga. Na hata vitabu vinapatikana kwenye tablets.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"Mama mwenye ubora wake".

Asante sana, kwa kukumbushana mambo muhimu kama haya.....
Utamaduni wa kusoma vitabu unajengwa!
Na unajengwa utotoni!! MTOTO ALIYEZUNGUKWA NA MATINI ZA KUJISOMEA ANA TOFAUTI KUBWA SANA HATA NAMNA YAKE YA KUFIKIRI NA KUJIELEZA!! Mzazi /Mlezi naomba nikushirikishe FAID/SABABU ZA KUKUHAMASISHA UANZE UTARATIBU HUU NYUMBANI KWAKO.

SABABU 10 KWANINI USOMAJI WA VITABU VYA HADITHI NI MUHIMU KWA UKUAJI WA MTOTO.

1. KUSOMA NI KUISHI
.
Maandishi hayafi, hivyo HIVYO na mwanadamu anayesoma maana anaishi na maandish anayosoma.
WATOTO wanatengeneza dunia ya WATOTO kupitia maandiashi. PICHA, VISA,MATUKIO,MIUNDO NA MAUDHUI YA HADITHI ZA WATOTO NI MAISHA HALISI KUPITIA WAHUSIKA NA LUGHA WANAYOIELEWA WATOTO.
Picha za Wanyama,vyakula, toys, NDIYO LUGHA SAHIHI YA MTOTO NA VITABU VYA WATOTO VINA MATUMIZI YA VITU HIVI KWA KIAIS KIKUBWA.

2. KUSOMA HADITHI KUNAPUMZISHA AKILI

Kusoma vitabu VYA HADITHI Ni rahisi KULIKO kutizama Tv. Tv inahusisha kazi zaidi KWA mishipa ya KICHWA KULIKO USOMAJI wa vitabu. Karatasi za vitabu Ni RAFIKI kwa afya ya macho KULIKO kutizama Tv.

3. KUSOMA HADITHI KUNAONGEZA UMAKINI.
Kitendo Cha mtoto kushika kitabu na KUTAZAMA picha na mwandishi kinaongeza umakini na Kama akifanya mara kwa Mara, atajenga TABIA ya umakini kwenye kuzungumza na kuandika.

4. KUSOMA VITABU VYA HADITHI KUNAFUNDISHA WATOTO KUHUSU DUNIA INAYOWAZUNGUKA NA NYINGINE MBALI YAO.

Msomaji wa vitabu husafiri akiwa amekaa.Mtoto atajua mazingira yake na MENGINE MBALI yake kupitia haditji na USOMAJI wa vitabu vingine

5. KUSOMA VITABU VYA HADITHI KUNABORESHA STADI ZA LUGHA!

Mtoto aliye msomaji wa vitabu VYA HADITHI atamudu stadi za lugha kwa HARAKA zaidi, msamiati wake utaimarika, ufasaha wa USOMAJI utaongezeka lakin pia ataweza kusoma kwa ufahamu.

6. KUSOMA KUNAIMARISHA UWEZO WA MTOTO KUWAZA MWENYEWE NA KUTENGENEZA PICHA KICHWANI
.
Mtoto anaposoma hadithi na matini nyingine anaimaeiwa UWEZO wa kufasili anachosoma, ANAWEZA kufasili maelezo ya KUHUSU watu, mwonekano, mahali na half tofauti. VITABU VYA HADITHI ZA WATOTO VINA PICHA NYINGI KULIKO MAANDISHI. Hii ni kuimarisha UWEZO wake kuwaza na kujitengenezea TAFSIRI kichwani.

7. KUSOMA VITABU VYA HADITHI NI BURUDANI.

Burudika na mwanao kwa kumrithisha tabia ya USOMAJI ili amudu STADI ZA USOMAJI.Na Ni URITHI WA MILELE.

8.KUSOMA VITABU VYA HADITHI NA MTOTO NI NJIA NZURI YA KUTUMIA MUDA PAMOJA NAYE
. Zaidi ya kuwekeza KUMBUKUMBU KATIKA ukuaji wake Bali UNAMFUNDISHA NIDHAMU YA KUJALI MUDA, NIDHAMU YA KUWA NA WAKATI BINAFSI NA NIDHAMU YA KUJIONGOZA.maana USOMAJI WA VITABU NI NIDHAMU YA MAISHA!!

9.KUSOMA VITABU VYA HADITJI NA WATOTO KUNAFANYA UKUE PAMOJA NAO. Unaposoma utalazimika kuwa mtoto naye atajifunza KUTOKA kwako. Utasoma kwa namna yake ya KUELEWA, kuigiza sauti zilizopo hadithini. HII INAONGEZA KUJIAMINI NA KUJIONA SALAMA MAANA ANAJUA KUNA MUDA BABA/MAMA / MJOMBA/ SHANGAZI anakuwa Kama Mimi!!

10.KUSOMA VITABU VYA HADITHI NA KUNAONGEZA UFANISI SHULENI
Mtoto aliye RAFIKI na vitabu, anaelewa HARAKA na kubakiza KUMBUKUMBU ya anachofundishwa. USOMAJI unahifadhi KUMBUKUMBU. UWEZO HUU HAUISHII KWENYE HADITHI PEKE YAKE. Utaenda mpk kwenye masomo mengine ya mitaala.

#MPEMTOTOKITABU#
#SOMANAMTOTOKITABU#
#MRUHUSUMTOTOAFIKIEKITABU#

UNAHITAJI NIA MUDA WAKO ANGALAU DK 20 KILA SIKU ILI KUSOMA NAE. BAJETI ANGALAU KWA MWEZI SHILINGI 20,000 KUWEZA KUNUNUA VITABU ANGALAU VINNE KWA MTOTO WAKO.
UKIWEZA NUSU YAKE PIA SI MBAYA, LA MUHIMU NI

TAMBULISHA NA WEKEZA MUDA WA MTOTO WAKO KWENYE USOMAJI WA VITABU!!

IWAPO HUNA ACCESS YA MAHALI PANAPOUZWA VITABU VYA WATOTO NICHECK PM!!
LENGO NI KUKURAHISISHIA UPATIKANAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom