Utamaduni wa Kusagana kwa Wanawake: Namna ulivyopenyezwa/Kuenea Afrika na sababu kadhaa za kuenea kwake Tanzania

Haya majumba yapo mengi sana maeneo ya Mombasa na Zanzibar.
 
Tweets zilifutwa ili watu wapimwe kama amber rutty kimya kimya tu wawe wanaambiwa kaa vzr kwny benchi wanajibu 'siwezi nimetoka kupimwa',teh
Inaonesha ishu ya Amber ilikuuma sana lol, kampe pole maana ameshatoka kifungoni.
Chezeya nguvu ya umma weyeee
 
We mbibi nilikuona Genius kumbe lofa hivi! Tangu lini biblia ikawa na mamlaka kwa wote hata wasioamini?

Next time ukuje ni citation zenye substance, vinginevyo nitazidi kukuvua vyeo!
 

Aiseee nimesoma mara saba saba hakuna kifungu hata kimoja kilichonigusa,
Sisengenyi,
Simchukii Mungu,
Nawatii mnooo wazazi wangu,
Natenda mengi sana, sadaka natoa, nasaidia yatima, wajane na maskini,
Sina majivuno,
Sio dhalimu wala sina tamaa,
Sijawahi kuua.

kumbe mbinguni naenda kabisaaaa hureeeeeeeeeeeeeh.
 
Bodi ya Wasagaji Tanzania walitangaza mkutano mkuu wa mwaka. Malesbians kibao walijitokeza lakini walirudi nyumbani totally disheartened walipogundua ilikuwa mkutano wa wakoboa mahindi akina Azam!
 
Bodi ya Wasagaji Tanzania walitangaza mkutano mkuu wa mwaka. Malesbians kibao walijitokeza lakini walirudi nyumbani totally disheartened walipogundua ilikuwa mkutano wa wakoboa mahindi akina Azam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…