Mkuu Mbuzi Mzee Hawa Vinyago wawili wakiwa hapo kwetu Tanzania watauliw na kuchomwa moto watazaniwa kuwa ni Wachawi eehhh Bwana tanzania kumechafuka na mambo ya Imani mbovu na potufu ya Uchawi kasheshe Bongo.
Hawa wauza sura nao wanatangaza tamaduni ya wapi