Mkuu ilikuwa kumbukumbu zangu zilizo sahihi zinaonesha kuwa ni Yemen Air na siyo Air France. Air France ilikuwa inatoka Rio de Janairo - Brazil na kupata ajari karibu lakini mabaki yake hayakufika Afrika. Yemen Air ndo waanga wake walipatikana Mafia na ilikuwa ikielekea Comoro ikiwa katika harakati za kutua. Naomba urekebishe taarifa kama niko sahihi nilivyo.
Hapa ni mnara wa kuongozea meli uliopo katika ncha ya kisiwa cha Mafia
Mnara huu ulijengwa zaidi ya miaka mia moja iliyopita
Fukwe inayoonekana pembeni ndipo miili ya wahanga wa ajali ya ndege ya air france iliyokuwa ikitokea comoro ndipo ilipopatikana..
picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi
Huu mlima unaitwa Oldonyo Lengai(kilima cha mungu) uliopo Longido ukiwa umecharuka unatema moto kileleni. ni moja ya volcano hai chache zinazolipuka duniani
asee safi sana,,,.. vitu kama hivi hatuvijui kwasababu ya magamba banna yani hawa jamaa ni waizi wa mali zetu wenyewe ndio maana hata kilimanjaro tumeshindwa kuipaiza bwana....!