Utalii wa Ndani

Utalii wa Ndani

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,360
Reaction score
2,389
Hapa ni mnara wa kuongozea meli uliopo katika ncha ya kisiwa cha Mafia
Mnara huu ulijengwa zaidi ya miaka mia moja iliyopita
Fukwe inayoonekana pembeni ndipo miili ya wahanga wa ajali ya ndege ya air france iliyokuwa ikitokea comoro ndipo ilipopatikana..
picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi
 
Attachments

  • IMG_0801.JPG
    IMG_0801.JPG
    138.9 KB · Views: 265
Sitaki niamini kuwa kitu hii ipo tanzania......It is really forgotten. Nice photo
 
img0801ko.jpg

Hapa ni mnara wa kuongozea meli uliopo katika ncha ya kisiwa cha Mafia
Mnara huu ulijengwa zaidi ya miaka mia moja iliyopitaFukwe

inayoonekana pembeni ndipo miili ya wahanga wa ajali ya ndege ya air france
iliyokuwa ikitokea comoro ndipo ilipopatikana..

picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi<!-- google_ad_section_end -->

​

Nice pic .... ..... ....Thanks Inkoskaz​
 
Wacha asante kwa kuikuza.nilifika hapo mwaka juzi mwishoni nikashangaa sana na kupiga picha hii
awali taa ya mnara ilikuwa inatumia kerosene lakini sasa wameweka solar system
Nyerere aliweka military base hapo enzi za ukombozi wa kusini mwa africa lakini it is no longer there
 
Wacha asante kwa kuikuza.nilifika hapo mwaka juzi mwishoni nikashangaa sana ma kupiga picha hii

Nice pic .... ..... ...
 
Shukran mkuu, vitu kama hivyo ni adimu sana Watanzania wengi hawafahamu nchi yao na urithi walioachiwa hata kwenye mbuga zetu wameuza kila kitu yaani ni balaa tamaa ya fisi itawamaliza. Hata huo mnara wanaweza kuupiga bei khe khe kheeeee.
 
kama loliondo ilimegwa itakuwa huu mnara tena upo border kabisa..
na hasa ukizingatia mafia kuna dalili za kupatikana mafuta
 
Shukrani sana mkuu maana hata mi nlikuwa sijui kitu kama icho.
 
HAHAHAHAHHAHAH, shukrani sana nipo kwa ofisi hapa picha hii imeleta mazungumzo, wengi wetu tulikuwa hatuna habari kbs na hii kitu

nashangaa TTB wala hawafanyi promo.....
 
Back
Top Bottom