Hapa ni mnara wa kuongozea meli uliopo katika ncha ya kisiwa cha Mafia
Mnara huu ulijengwa zaidi ya miaka mia moja iliyopitaFukwe
inayoonekana pembeni ndipo miili ya wahanga wa ajali ya ndege ya air france
iliyokuwa ikitokea comoro ndipo ilipopatikana..
picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi<!-- google_ad_section_end -->
Nice pic .... ..... ....Thanks Inkoskaz
Wacha asante kwa kuikuza.nilifika hapo mwaka juzi mwishoni nikashangaa sana ma kupiga picha hii
awali taa ya mnara ilikuwa inatumia kerosene lakini sasa wameweka solar system
Nyerere aliweka military base hapo enzi za ukombozi wa kusini mwa africa lakini it is no longer there

Shukran mkuu, vitu kama hivyo ni adimu sana Watanzania wengi hawafahamu nchi yao na urithi walioachiwa hata kwenye mbuga zetu wameuza kila kitu yaani ni balaa tamaa ya fisi itawamaliza. Hata huo mnara wanaweza kuupiga bei khe khe kheeeee.
upo wajamen..
hizi ni kama ile mnara wa liberity au Eiffen Tower
:A S-heart-2:
Aisee huchoki kuchezacheza?upo wajamen..
hizi ni kama ile mnara wa liberity au Eiffen Tower
:A S-heart-2:
HAHAHAHAHHAHAH, shukrani sana nipo kwa ofisi hapa picha hii imeleta mazungumzo, wengi wetu tulikuwa hatuna habari kbs na hii kitupumzi bado ipo mkuu