Utakuwa na amani Watoto wako wakiwa na Tabia ulizonazo?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Walezi na wazazi wengi wamekuwa mtazamo tofauti kwenye suala la malezi hasa kwa kutaka Watoto wao wawe na tabia nzuri sana, na wakati mwingine hata kwa kuwapiga kabisa wanapoonesha utovu wa nidhamu.

Sasa swali la msingi ni je, tabia unazotaka Watoto wako wawe nazo wewe unazo? Watoto wanaiga kila kitu kutoka kwa wanaowazunguka regardless unawafundisha nini.
Screenshot_2023-07-29-09-57-35-150_com.instagram.android-edit.jpg
 
Walezi na wazazi wengi wamekuwa mtazamo tofauti kwenye suala la malezi hasa kwa kutaka Watoto wao wawe na tabia nzuri sana, na wakati mwingine hata kwa kuwapiga kabisa wanapoonesha utovu wa nidhamu.

Sasa swali la msingi ni je, tabia unazotaka Watoto wako wawe nazo wewe unazo? Watoto wanaiga kila kitu kutoka kwa wanaowazunguka regardless unawafundisha nini.View attachment 2701944
Nitafurahi sana maana mm sio:,
-mkorofi,
-Sina tamaa za kijinga
-Mwepesi wa kupuuza ila sio kusamehe hasa pale ninapokerwa
-Mtafutaji
-Naridhika na ninachokipata
-Ubongoni niko timamu
-Sio mlevi
-Sio malaya kabisa.
 
Back
Top Bottom