Hata kama ilikuwa ya kansa kisukar matende etc hakupaswa kubwabwaja,ndo nyie mnaosma vyiuo vya Kata ,hamfundishwi Professional Ethics??shame on u
Hata kama ilikuwa ya kansa kisukar matende etc hakupaswa kubwabwaja,ndo nyie mnaosma vyiuo vya Kata ,hamfundishwi Professional Ethics??shame on u
MMmhh, daktari gani asiye na maadili ??hapa indirect ushatoa siri ya ugonjwa wa marehemu ..kwa sisi watu wazima tumeshakuelewa..ila jirekebishe..
Kwa uandishi huo wewe umesoma chuo gani!?? cha kitongoji au!?
Ngoja nikwambie ndugu yangu. Kwenda hospitali sio siri ila kile mnachoongea na daktari ndio siri. Na kumhudumia mgonjwa sio siri ila unachomhudumia ndio siri. Ndio maana hospitali zipo peupe ila chumba cha daktari kinafungwa. Ni siri gani niliyoitoa hapo? Kutibiwa hospitali ni siri? Nimesikitika kwa sababu ni mtu ambaye nilishakutana naye kwenye maeneo ya kazi ndio maana nikaulizia. Usijifanye unajua kitu ambacho hukijui. Hivi benki teller akisema alikuhudumia benki atakuwa ametoa taarifa zako za benki?
Unafikri mkuu ungeishia kusema ulikutana naye hospital akiwa na afya yake nzuri nani angekusakama? Ila wewe umesema ulikutana naye Clinic!!! Sasa hiyo ilikuwa Clinic ya wajawazito na watoto au ya wagonjwa wale wengine? Basi ungebainisha ni Clinic gani ili kuondoa huu mkanganyiko wa watu kufikiri kwamba labda ilikuwa clinic ya magonjwa yale!
Ndugu yangu Nyalotsi humu JF kuna tofauti kubwa sana ya uwezo wa kupambanua mambo kwa baadhi ya watu hivyo wewe piga kimya sijaona mahali popote ulipokosea.Zaidi na zaidi nimesikitika kuona baadhi ya Watanzania wenzangu hawajui maana ya neno CLINIC.Tatizo ndo hilo. Tunafikiria kwa upande mmoja. Kwa nini wewe ufikirie clinic ya hiv tu? Ningesema amefariki kwa sababu alikuwa mgonjwa ungeanza kufikiria huko. Mbona wengine wameelewa nini nilichomaanisha? Tuwe tunawiden our thinking ili tusifanye conclusion ambazo sio. Na nisingeweza kutaja clinic niliyokutana naye kwani huko ni kutoa siri ya mgonjwa japokuwa ni marehemu.
Kuna clinic za kisukari,hypertension, ujauzito, art, sickle cell, kansa, mifupa, ubongo,follow up after recovery nk. Msifikirie upande mmoja tu!
art?= heart
we vipi! Ametoa siri gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri ilyotolewa.
Wakaka bwana, ndo wanaonekana kumjua huyu shori kwa ukaribu...mwingine anasema alipelekwa KIA usiku mwingine toka primary, haya na wengine mje twawasubiri mjitambulishe. Baada ya hapa mpitie kule mwangaza mkaangazwe kwanza!! Uwekwe panapostahili jane.