Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,337
- 51,858
- Thread starter
- #61
Naelewa wengi wamevunja amri ya sita kitandani alimokwishalala yeye na mkewe au mumewe. Na kuzaa... Nuksi yake itakuwa babukubwa
Ila mkubwa huu uzi unaashiria unaakili nyingi sana
Mkuu karibu sana.