Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
Kwa Nini usijisamehe ,Utajuta mpka lini?, Moyo umejaa mafadhahiko kwa kumbu kumbu Mbaya , Forget about the past, let's to focus about future.
Fanya hivi ili moyo wako upate Amani
Samehe
Ikiwa mtu amekukosea msemehe ila usimpe nafasi Katika Maisha Yako, Kinyongo Hakitomfanya ateseke mtesi wako ,Kitakuumiza wewe uliyohifadhi, Maisha yake yatasonga , Kisasi kizuri ni Mafanikio ,Songa mbele...
Pambana, Ubaya wao iwe chachu ya mafanikio Yako..
Kipindi Diamond platinum(Nasibu Abdul) media zilikataa kupiga nyimbo zake hakuwahi kulalamika, Hasira zilizidi, Alitoa vigongo vikali. Vilisambazwa kwa njia ya Mabasi ,
Walikwenda stendi za Mabasi ya mikoa Kisha waliwapatia madereva flash na kitita Cha Tsh 100'000/ kwa Sharti nyimbo zipigwe mpka abilia anafika.Mungu SI athumani akufungua media yake(Wasafi).
Jisamehe
Huwenda unatabia Mbaya unayo na ningumu kuicha, Huwenda Katika Maisha Yako ulifanya maumuzi ambayo SI sahihi yameghalimu maisha yako ,
Ama Rika lako wanamafanikio wewe Ngoma Ngumu.
Jisamehe Anza upya ujachelewa wew ni Wa thamani nandomana Mungu kakupa punzi Hadi sasa wapo wanaofurahia uwepo wako , Utajidhuru na hio tabia Mbaya mpka lini ,hujui inakuletea madhara , ukiumwa?,ukidhurika? Waonee huluma wanaokupenda na kukutegemea!!!!!!
Vipi kuhusu Mama?
Vipi kuhusu Baba?
Ama watoto, mpenzi, Rafiki
Sasa kwa Nini unafanya kitu na unajua kinamadhara ?
Starehe ya mda mfupi itaghalimu familiar Yako milele.
Shukuru
Mambo yanapokua hayaendi sawa unajiuliza kwa Nini Mimi ,Mbona magonjwa yananiandama? ,Uchumi wangu mgumu , Mahusiano yangu kila Siku huzuni....
Je ushawahi kujiuliza mbona wezako wamekufa wewe upo hai Tena matajiri ,viongozi Ambao wanamadaktari bingwa , Ulinzi mkali ila hawapo duniani ...
Upo huru apo unakwenda unapopataka vipi kuhusu Gerezani kula kwa filimbi kulala kwa filimbi
Je vipi kuhusu wendazimu maisha ya kulala kwenye dampos ,kutothaminika na Ulimwengu?
Sijasahau wagonjwa mahututi wapo wanaopumulia Oxygen, Uhai wake unategemea Mtungi na SI bure ,yupo kitandani tu .
Kwa Nini usishukuru wew haijalishi upo Katika hali gani , ulivyo Kuna watu wa natamani kuwa kama wewe
Omba Samahani
Kiburi si ungwana , ukikosea sema Samahani kunyamaza kimya na unajua umekosea ni Upungufu wa akili...
Kuna mtu aongei na mzazi wake Sababu ya kiburi...
Kuna mtu kapoteza Kazi Sababu ya kiburi....
Kuna mtu kapoteza mahusiano sababu ya kiburi....
Kiburi kimeludisha nyuma watu wengi , Tabia ya kujiona mkamilifu(Choosen One) imeleta majuto kwenye maisha ya watu wengi ,Umuhimu wao utofutika utaishi Katika moyo wako daima, Utaendelea kuwakumbuka mpka unakufa
Nazi haishindani na jiwe ,Jitue mzigo.