Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Wanavyoongea tu mm nafurahi sana ukute watu wa mbagalaUende wapi? Uswahilini kutamu ww....ni kutembea ubavu ubavu na kuruka mitaro ya maji mpaka ufike kwako, ukifika sehemu pana miguno ya kimasihara unapunguza mwendo
Huu nao ni Uafrika. Mtu anatumia anachokipenda na kukipata, na ndio maana kuna watu wanaoga na shower gel wengine wanatumia zao jamaa na hawana noma.ujanja ni kuwa na simu ya gharama Kama Iphone.
borongoto chuma chuma!Viwanja viwanja viwanja….
Sumu ya panya kunguni viroboto
Ice cream ice cream.
Mchicha njegere mbaazi njugu chainizi.
(Siku nikijipata, nahama uswahilini mimi) 😒
Weka vocha ya buku kwanza then ndio nitoe chapu.Sasa hvi
MtandaoWeka vocha ya buku nitoe.
TIGOMtandao
Jamaa wengine wanatumia doffi wanachanganya kwenye maji ya kuogeaHuu nao ni Uafrika. Mtu anatumia anachokipenda na kukipata, na ndio maana kuna watu wanaoga na shower gel wengine wanatumia zao jamaa na hawana noma.
Hawajui ila utaumia tu wewe na ukoo wako hata usipojaliHata wanajua ninapokaa? Kalaghabao na siasa zenu
Condom gani ni nzuri kuzidi rough rider?Watu hasubui wanaamka wanashinda vijiweni kubishana MO na GSM nan anapesa
Hivyo viwanja unauza bei nafuu au unakodisha?Unatafuta Basha wa kukuna hiko kijambio chako kwa nguvu sana.
Hayo mambo me siwezi
,mzabanga ushindwe wewe
Toa picha hiyoTIGO
Vile viwanja unauza bei nafuu au unakodisha?"Aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana kwa taifa" in late JPM voice
Mmeanza.Toa picha hiyoView attachment 3071612
Oya acheni kuchafua uzi huu uzi mtasabisha ufutwe msituletee mambo yenuToa picha hiyoView attachment 3071612
Mbagala kule uswahili mwingi, usalama zero & uhuni wa kishambaWanavyoongea tu mm nafurahi sana ukute watu wa mbagala
Sio mmMmeanza.
Kwa kidogo sana. 🤣🤣🤣
Tbeg muhuni alimla tako bellick kule sona.Lincoln Barrow (Dominick Purcel), Alexander Mahone, Paul Kellman & Lile nyamera lililomkata Mkono Tburgwell walizindea haki nafasi zao
SawaOya acheni kuchafua uzi huu uzi mtasabisha ufutwe msituletee mambo yenu
Sio Wewe niniSio mm