Utajuaje Kama mimba ni ya mapacha?

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
512
324
Nataka kufahamu hili,bila kutumia vipimo vya kitaalam je kuna dalili zozote kwa mjamzito zinazoashiria uwepo wa mapacha?
 
Bila ya shaka kufahamu mtu kama amebeba twins bila ya kupitia ultrasound ni vigumu mno, licha ya kuwa wapo baadhi ya wa mama husema kuwa wanahisi wamema zaidi ya mtoto mmoja katika mafuko yao ya uzazi. Halafu kuna Uzi kama huu upo tayari unaweza kupitia kupata maoni ya wengine.
 
Ni mimba ya miezi mingapi kipimo cha ultrasound kitaonyesha majibu ?
 
Back
Top Bottom