Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,190
^^
Kuna watu wakinunua simu kwa mara ya kwanza,,akapata namba yako utamjua tu!
...
Anabipu anabipuu unajua hii namba ngeni bila shaka anashida ya muhimu ukimpigia tu anakuambia 'NILITAKA KUKUSALIMIA TU'
...
Mwingine anakupigia ukimuuliza unasemaje Oo! Nilitaka kukuambia huku mvua hainyeshi
...
Loo! Utajuaje amenunua simu mpya.tupia na wewe