Utajisikiaje ikikukuta hii?

Hiyo buku huenda ndio angama kashaipigia hesabu mpaka kichwa kimemuuma.

Usilolijua ni usiku wa giza.
 
Je ingekuwa nauli ya mabasi yanayoenda mkoani ungejisikia vibaya asipokulipia?maana pale ni 30,000 acha hizo za daladala.

Mwenzako ana bajet yake
 

kwahyo ww ulitaka ulipiwe?? Tambua watu sku hz wanaishi kwa malengo na bajet kali. Hakuna hela za kutumia hovyo kwan usingekutana naye nan angekulipia?? Acha kupenda mteremko
 
Huwezi kujua bajeti yake mfukoni. Unaweza kuona noti ya elfu kumi lakini huenda ya kwake hapo ni 500/= tu.


Hii ndio bongo Darisalaam, usione watu tunatembea tumevaa suti na Briefscase ukadhani kuna pesa ndani yake au tunaenda ofisini.

Wengine tunadhurura mitaani kutafuta lishe ya siku.

UMARIDADI UNAFICHA UMASKINI!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 

Weka picha
 
Mara nyingi sana wanaume huwa ni wagumu kusidiana.....
 
kulikuwa na ulazima gani ya yy kukulipia nauli?kwan ww ulikuwa huna nauli ukamwomb akakataa?tubadilike
 

Duh! Kweli ni kitu cha kushangaza. Ila tokana na kwamba muda mrefu umepita hamjaonana na huyu mtu; huenda kweli bajeti haikuwa inaruhusu mkuu.
 
Wanajamvi bana mnajifanya ni watu wa money management/budget hivi vitu siku zote huwa ni nadharia/theory katika uhalisia there no such thing, sitaki kuamini kwamba wote mliosema budget mahitaji yenu yote kabisa huwa mmepanga kuwa utanunua hiki na hiki. What is mia sita bana!! labda nauli ingekuwa zaidi ya buku 3 hapo hata ukikaza unaeleweka.
 
eti hamjaonana muda mrefu ndio akulipie nauli.....
Kwanza huyo si rafiki yake ni mtu tu wanayefahamiana kwa kuwa wamesoma skuli moja,ila kama huyu mkuu anapenda kulipiwa lipiwa namshauri aje tu huku zenji tutamlipia kila kitu yeye ,mkewe na bintiye!
 
Poa bhana Vipi kuhusu utu?

Kwa dunia ya sasa swala la utu liko kwa kiasi kidogo sana hivyo usifikiri kitu ambacho wewe unafikiri ni busara kukifanya basi na kwa mtu mwingine itakua hivyo, Watu tuko kama vidole vya mikono.
 

kama ulikuwa akilini mwangu.yaani umeandika nilichopanga kuandika.
Big up tamar!!!!
 
sijaona sababu ya msingi ya kukufanya ulipiwe!tujifunze kuheshimu budget zatu na hata wewe usijifanya kulipia lipia watu,huo ni uharibifu na matumizi mabaya ya hela!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…