Kama kibuti kilikuwa kibaya Hamna haja ya kumpa poleAtajileta vipi wakati alikupiga kibuti kibaya!
Haha zinakufikia tu automatically sio....potezea kwani lazima ujihusishe na mambo yake???Hufuatilii ila habari zinakufikia tu!
Mimi sioni mkuu hata haja ya yeye kufahamu unajua kaachwa..may be akuambie. Ila umezisikia kwa watu baki nazo mdomoni tu...Hufuatilii ila habari zinakufikia tu!
Ukiona ivyo ujue bado anampendaKwanini ufuatilie maisha ya mtu kiasi hicho? Umeachwa tulia fanya yako.