UTAJIRI WANGU NI MAISHA DAIMA

UTAJIRI WANGU NI MAISHA DAIMA

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
145
Pesa haiwezi kununua uhai 👇
 

Attachments

  • bobmarley_good_20250731_reel_3688533268049247845_1_3688533268049247845.mp4
    3.3 MB
Wakati bob anaongea hayo, ujue alikuwa ni tajiri wa pesa, hakuwa hohehahe.

Ni kweli pesa haikupi kila kitu, ila ukweli usiofichika, tunafanya kila kitu ili tupate pesa.
Tajiri akifa, masikini anakufa
Maskini akiugua, tajiri anaugua na hapo pesa ndipo inafanya kazi.
Na mambo mengine kede kede.
Vitu vingi huwezi kufaidi vizuri ukiwa huna pesa

Kwangu pesa ni muhimu sana,

"Pesa na magari ni vitu vya kupita, ila ni vizuri vikipitia kwako"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom