UTAJIRI WA TANZANIA

UTAJIRI WA TANZANIA

Mt Kilimanjaro tours earn Tanzania $50m — World Bank

porters.jpg


Climbing tours up Mount Kilimanjaro earn Tanzania at least $50 million annually, new World Bank data shows.

The revenue from the park supports approximately 400 guides, 10,000 porters, 500 cooks, and contributes 13 per cent of the country’s overall gross domestic product, according to the report.

In addition, the report says that roughly $13 million of the park’s revenue is used to help improve the lives of the poor around the mountain slopes; the area has the highest school enrolment rate (100 per cent) and adult literacy rate (85 per cent) in the country.

However, while Mount Kilimanjaro has been a successful at generating revenues for the park and for the locals, the report highlights challenges that need to be addressed to continue to build on its success.

These include the dangerous working conditions for porters and guides as well as the increased environmental degradation around the slopes, particularly with regard to the trail erosion during wet periods

The report, Tourism in Africa: Harnessing Tourism for Growth and Improved Livelihoods says that tourism accounted directly or indirectly for one in every 20 jobs in sub Saharan Africa in 2011, and is one of the few industries on the continent in which women are well represented as employees and managers. Sub Saharan Africa is outpacing other regions in tourism growth.

Africa’s tourism industry directly employs around six million people and is a vital part of the economy in countries such as Cape Verde, Kenya, Mauritius, Namibia, Rwanda, South Africa, and Tanzania, who the World Bank says “have simplified their tourism policies, liberalised air transport and diversified tourism, while protecting their communities and environments,” creating a positive investment climate for tourism development.

“Africa’s private companies are increasingly attracting regional and international investment and the returns on investing in Africa are among the highest in the world,” says Makhtar Diop, World Bank vice president for Africa.

However, the report says that governments must also do their part to create better transport, electricity, infrastructure, and other key services to develop tourism for more broad-based growth and improved livelihoods.

Global hotel chains are expanding across Africa, recognising investment potential and committing millions of dollars in new projects over the next few years to meet increased demand from both international tourists and the continent’s own fast-growing middle class.



Mt Kilimanjaro tours earn Tanzania $50m — World Bank

 
Kwanza tujivunie kuishi kwenye nchi nzuri Tanzania hayo ya kuhusu umaskini yanarekebishika ila utajiri wetu ni wa kujivunia.

Proud Tanzania.
 
Kwanza tujivunie kuishi kwenye nchi nzuri Tanzania hayo ya kuhusu umaskini yanarekebishika ila utajiri wetu ni kujivunia.

Proud Tanzania.
yes indeed ...what remain a challenge is to turn into reality...........Brght rays ahead of 5th Phase govt
 
Nchi ya Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kuwa na watu maskini kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiongozwa na Burundi.
Utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) mwaka huu, umebaini kwamba katika nchi za Afrika Mashariki, Uganda inaongoza kwa kutokuwa na watu maskini.
Utafiti huo ulibaini Tanzania ina asilimia 67.87 ikifuatiwa na Burundi ambao wana asilimia 81.32. Ukiacha Tanzania nchi inayofuatia ni Rwanda ambayo utafiti huo ulibaini kuwa ilikuwa na asilimia 63.17, huku watu wa Kenya wakiwa na alama za umaskini kwa asilimia 43.37, Uganda 38.01.
Kwa mujibu wa ripoti ya Global Monitoring ya mwaka 2013, matokeo ya utafiti huo yaliangalia idadi ya watu wanaoishi kwa Dola 1.25 sawa na Sh2,000 kwa siku.
Kwa utafiti huu, Tanzania na Burundi zinakuwa nchi zenye idadi kubwa ya watu maskini katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, nchi za chini ya jangwa la Sahara zinajikongoja katika kufikia malengo ya maendeleo ya milenia. Mwaka 1990 nchi za chini ya Jangwa la Sahara na Asia Mashariki zote zilikuwa na asilimia 55 wakati zilipoanza safari ya kuelekea maendeleo ya milenia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, mwaka 2010 Asia Mashariki ilifanya jitihada kubwa za kupunguza umaskini hadi kufikia asilimia 12 wakati nchi za chini ya Jangwa la Sahara zilikuwa zina asilimia 48 ya umaskini.
Barani Afrika ukuaji wa miji umeongeza kutoka asilimia 30 mwaka 1980 hadi asilimia 50 mwaka 2011.
“Ukuaji wa miji unasaidia watu kuondokana na umasikini na kuelekea katika malengo ya Milenia, lakini kama hautasimamiwa vizuri unaweza kusababisha ukuaji holela wa miji, uchafuzi wa mazingira na ongezeko la uhalifu,” inasema ripoti hiyo.
Zaidi ya asilimia 80 ya bidhaa zinazozalishwa ulimwenguni zinazalishwa mijini, na kusababisha ukuaji wa miji na kupunguza umaskini. Nchi nyingi za Asia Mashariki na Marekani zimefanikiwa sana kupunguza umaskini kwa kupiti njia hii.
“Kinyume chake, Asia Kusini na nchi za chini ya Jangwa la Sahara zina idadi kubwa ya watu maskini na zinaendelea kujikongoja kuelekea katika maendeleo ya Milenia.” inabainisha sehemu ya ripoti hiyo ya WB.
Wachumi Tanzania
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Tanzania, Dk Honest Ngowi anasema kimsingi umaskini ulioanishwa na ripoti hiyo ni umaskini wa kipato na anasema licha ya kuwa tuna raslimali nyingi kama madini, utalii na nyingine, lakini hoja inayokuja ni je zinatumiwa vipi?Ni sawa madini yanachimbwa, lakini wawekezaji ndiyo wengi, lakini sekta hii ya madini haina mwingiliano wa moja kwa moja na watu, na kama watu wa kawaida hawahusiki moja kwa moja inakuwa vigumu kuinuka kimapato,” anasema mhadhiri huyo.
Mtaalamu huyo wa uchumi anabainisha kwamba ili mtu awe na kipato ni lazima afanye kazi.
 
napenda kuchagua nyimbo ya Roma Mkatoliki-Viva Roma iwafikie wote wasiopenda.
 
Kila kitu na wakati wake chini ya jua!
Sasa ni zamu yetu watanzania!
 
Back
Top Bottom