Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
We unao huo utajiri wa ndaguJaribu kutembelea hii mikoa na ukienda utulize akili usiwe na wenge utapata unachotaka.Geita,Shinyanga,Rukwa,Kigoma,Simiyu,Morogoro na Njombe
Ndagu au utajiri wa majini ni wa kweli lakini masharti yake au tabu zake zinaweza kuwa hatari zaidi ya huo utajiri.Omba Mungu fanya juhudi kwa kila kitu,rizika na ukipatacho na ushukuru
Mbeya vijijini ila ukija usinitafute nenda pekee yakoUmalila sehem gani mkoa upi nije nichote mahela
Wakazi gani sasa sema kama unataka nambie nikupeleke.We unao huo utajiri wa ndagu
We umejuaje kama hunaWakazi gani sasa sema kama unataka nambie nikupeleke.
kijana yuko tayari yeye anachojali awe tajiri tu, mpe njia aidha awatoe kafara wapendwa wake au azibuliwe mtaro.Thubutuuu....... kupididiwa mchezo? Bora kufulia kuliko kuwa pididilized
Hii connection haitoki kizembe mkuu kwa sasa watu ni wengi mno wanataka hi fursa lakini hapana kwa sasa mashart magumu mkuuYakuz yavuz Poor Brain ana koneksheni mcheki
Namsubiria Gwajima kanisan.hapa..Hii connection haitoki kizembe mkuu kwa sasa watu ni wengi mno wanataka hi fursa lakini hapana kwa sasa mashart magumu mkuu
πππππNamsubiria Gwajima kanisan.hapa..
Naomba na mimi, nipo tayari kwa hayo mashartiHii connection haitoki kizembe mkuu kwa sasa watu ni wengi mno wanataka hi fursa lakini hapana kwa sasa mashart magumu mkuu
Ahahahah uvivu..Naomba na mimi, nipo tayari kwa hayo masharti
Kijijini kinaitwaje acha uogaMbeya vijijini ila ukija usinitafute nenda pekee yako
Utaweza kuzibuliwa mtaroooNaomba na mimi, nipo tayari kwa hayo masharti
Uvivu wa kulima πππAhahahah uvivu..
Uvivu tu wa kuuza chenji
Uvivu tu wa kutembeza nyanya....
Amka kijana mwenzangu.. pambana
I dislike upuuzi πUtaweza kuzibuliwa mtarooo
Ndo masharti niliyokutana nayo ilibidi nirudi bila mapene baada ya kushindwa hilo sharti ndo nauliza we utaliweza maana umesema tayar kwa mashartiI dislike upuuzi π
πππππKulima usichukulie poa..Uvivu wa kulima πππ
toa ramani mkuuDogo mashart utayaweza?View attachment 3352457
nipo tayari nahitaji hio connection- kama ipo naomba unicheki PMWakazi gani sasa sema kama unataka nambie nikupeleke.
Huyu apa alipo anatolewa majini wabaya na mikosi..na huyo kuku yameanza kumuingia na ndio maana anaanza kuumwa kwa kusinziaDogo mashart utayaweza?View attachment 3352457