Utajiri wa Nabii Mkuu GeorDavie wa Arusha

😀😀😀 Hii sentensi imenichekesha sana.

Ana mikataba na kuzimu, na kutoa ni moja ya makubaliano yake na kuzimu kwa mabadilishano na nafsi za wahitaji.
Maskini watu hawajui kuwa kupokea chochote kutoka kuzimu ni kuingia ktk agano... Wanachekela huku wanapotea.. Kama wiki iliyopita Aubert Angel alivyogawa pale leaders... Dah🤔🤔
 
Wakuu

Nipo home 77 hii mapunziko, namuangalia kupitia television yake Nabii Mkuu Mh. Dr. Geor Davie, anayepatikana mkoani Arusha ambapo anapaita kanisani kwake kama Chuo kikuu cha manabii.

View attachment 2680880

Aisee huyu mtu ana hela, anasema tathimini ya mwaka huu 2023 hadi kufikia tar 30/6/2023 ametoa kanisani kwake kiasi cha Tsh 1,055,000,000 (Bilioni moja na milioni hamsini na tano) ikiwa ni kusaidia wenye uhitaji katika kujikimu kimaisha na michango mingineyo. Ambapo ametoa pikipiki, bajaj, friji na mitaji kwa wafanyabiashara wadogo.

Ameendelea kusema pia pamoja na kiasi hicho cha pesa, pia hadi kufikia hapo alipo toka amekua, ameshatoa magari zaidi ya 100 kwa watu tofauti tofauti akiwapa bure pasipo kuwadai.
Amedai pia fedha zake anapata baada ya kutembea nchi mbalimbali duniani, amedai angekaa kanisani asingeweza kupata fedha zote hizo.

Fedha zake ni za kutosha aisee. Hanaga michango kanisani kwake au kupitisha namba za michango kwenye tv yake.

Chanzo: 1016 GeorDavie Tv
Huyo nilimuuzia shamba
Kipindi hicho anaanza
Ndo akajenga hilo kanisa
 
Hanaga sadaka kanisani kwake?
Anaishije Sasa?
Mbona unataka kutupiga na jiwe la gizani?
 
Uebert Angel aligawa hela?
Zile sio miracle money anayoisema yeye?
Maskini watu hawajui kuwa kupokea chochote kutoka kuzimu ni kuingia ktk agano... Wanachekela huku wanapotea.. Kama wiki iliyopita Aubert Angel alivyogawa pale leaders... Dah🤔🤔
 
Maskini watu hawajui kuwa kupokea chochote kutoka kuzimu ni kuingia ktk agano... Wanachekela huku wanapotea.. Kama wiki iliyopita Aubert Angel alivyogawa pale leaders... Dah[emoji848][emoji848]

Nimemtoa maana Tony kapola
Nimeacha kumfatilia
Huyo Aubert na scandal zake zote sio wa Tony kumsujudia
 
Wakuu

Nipo home 77 hii mapunziko, namuangalia kupitia television yake Nabii Mkuu Mh. Dr. Geor Davie, anayepatikana mkoani Arusha ambapo anapaita kanisani kwake kama Chuo kikuu cha manabii.

View attachment 2680880

Aisee huyu mtu ana hela, anasema tathimini ya mwaka huu 2023 hadi kufikia tar 30/6/2023 ametoa kanisani kwake kiasi cha Tsh 1,055,000,000 (Bilioni moja na milioni hamsini na tano) ikiwa ni kusaidia wenye uhitaji katika kujikimu kimaisha na michango mingineyo. Ambapo ametoa pikipiki, bajaj, friji na mitaji kwa wafanyabiashara wadogo.

Ameendelea kusema pia pamoja na kiasi hicho cha pesa, pia hadi kufikia hapo alipo toka amekua, ameshatoa magari zaidi ya 100 kwa watu tofauti tofauti akiwapa bure pasipo kuwadai.
Amedai pia fedha zake anapata baada ya kutembea nchi mbalimbali duniani, amedai angekaa kanisani asingeweza kupata fedha zote hizo.

Fedha zake ni za kutosha aisee. Hanaga michango kanisani kwake au kupitisha namba za michango kwenye tv yake.

Chanzo: 1016 GeorDavie Tv

Naamini ni Mwongo, mchoyo huyo Jamaa tushamfanyia kazi yake tukazungushwa mpaka tukasamehe baadhi ya Malipo.
 
Kitu nachompendea huyu nabii mkuu ni vile anavohubiri kwa kutumia akili, hapayupi kama wale jamaa anapoint ukimsikiliza huchoki hana muda wa kuhubiri sadaka kama kina mtume
 
Acha kujidanganya. Geor Davie mbali na kukusanya sadaka pia ana huduma ya maombi ambayo unalipia. Mwaka 2012 nilikuwaga na misukosuko sana kwenye maisha nikaamua niende kwa Geor Davie kwa kudhani nitamkuta yeye mwenyewe. Badala yake nikaelekezwa kwa wasaidizi wake tena wa ngazi za chini sana na kuambiwa nilipe Tsh 500 kabla ya maombi. Nikalipa na nikaombewa na mama fulani ambaye kwa haraka ukimuangalia ni kama mfanya usafi tu wa pale. Kwa Geor Davie mwenyewe maombi yake ni noti ndefu sana.

Baada ya yale maombi hakuna uafadhali uliotokea ndo nikajiambia kama kwa wachungaji nalipa hela bora ninyooke kwa mganga direct. Nilifika kwa mganga mida ya asubuhi nikamkuta kachoka nikamuuliza ni vipi mzee? Akajibu usiku mzima hakulala alikuwa anawaganga wachungaji. Nilichoka. Yule mganga akaniambia mimi sikuchaji chochote kwa sasa ila utahitajika uniletee vitendea kazi. Kwenye list niliyopewa kulikuwa na maji ya bahari. Nikamuuliza wewe mganga umekuja kuwaje unasema nilete maji ya bahari wakati hapa ni Arusha? Akanijibu usijali nitakuelekeza pa kupata hayo maji.....
 
Daa 500 afu umetoka mkoan
 
Malizia story maji ulipata wapi ?Ikawaje huko kwa mganga[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom