Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,782
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
 
Kweli mkuu hawa jamaa hawafurahii kabisa hii pesa maaana mashart tele sasa cjajua lengo LA utajiri kwa hawa wenzetu ni nini?
 
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo

Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma

Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Sumbawanga ni jina tu linavumishwa na watu na kutumika kibiashara, lakini ushirikina wa nguvu upo Mbeya na Makete
 
Inaelekea wewe mgeni na watu wa huku...sisi tushawazoea na tunaona ni kawaida tu,kama ukija huku pawaga/iringa vijijini utakutana na mambo ambayo siku ukiludi kwwnu ukiwasimulia hakuna atakayeamink,watahisi umeangalia movie sasa unawasimulia
NB:kwa kiasi flan usemayo ni kweli na yapo zaidi ya hayo ingawa sio wote wana mambo hayo(asilimia ndogo sana ndio wana hayo mambo)
 
Hiyo mikoa uchawi au nguvu za kishirikina ili watajirike wanazitoa Malawi

Back
Top Bottom