ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,378
- 8,624
Kanumba nae angekuwepo tungeambiwa ni sembe
Naona siku hizi hamuwaiti tena ma freemason
Naona siku hizi hamuwaiti tena ma freemason
Hapo umechanganua nini sasa ewe msomi? Wala katika hoja yangu sijaweka hitimisho, ndugu msomi utumiae ubongo. Hoja inasimama kama ilivyo.
kwani na ninin eti tujuzemie nataka kujifunza toka kwake
Hivi kila mwenye vijisenti lazima awe Punda au muuza Sembe?
Kwani mtu mpaka aitwe tajiri shurti awe anamiliki nini? Mbona hukutaja hizo mali anazomiliki? Maana isije kuwa ana pesa ya kubadili mboga tu unatoka mbio mpaka jukwaani kumuita mtu tajiri.Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?
mpira unalipa kila mwaka juma k juma...ana uhakika wa kukunja mill 40 ili mradi awe na kiwango kizuri...kuuza unga imekuja vipi hapa?mimi nauliza tu,kwani mwanangu anapenda mpira tena ugolie kama kaseja.sasa kashaanza kataa masomo anasema soka la bongo linalipa.natafuta ushahidi wa kumkubalia au kumkatalia.
Nasikia nae ni punda wa ngada.
Naona siku hizi hamuwaiti tena ma freemason
Nasikia nae ni punda wa ngada.
we endelea tu kula hela zake nguruwe ukimchunguza humli ,au unataka kumchafua????huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?
Kama na wewe ni msomi basi TZ ina safari ndefu. Hivi unakumbuka alilipwa sh ngapi wakati anatua Yanga plus mshahara, then akarudi Simba akalipwa sh ngapi plus mshahara na bonus! Usikimbilie kwenye hitimisho jaribu kushirikisha akili yako kuchanganua mambo.