Hiyo ni dalili nzuri ya wivu wa kike, fanya kazi kwa bidii upate fedha, usitumie vibaya muda wako kutafuta utajiri wa mtu. Fanya yako.
Unafikiri itakusaidia maishani mwako kujua utajiri wa mtu?Hakuna wivu wa kike hapo huyo jamaa anataka kujua kama Kaseja kuwa na nyumba, Kimara Bonyokwa, Mbezi Temboni, na Mikocheni ten zote za kifahari ambazo zimejengwa kwa zaidi ya milioni 70 kama kweli ni hela anayoipata kudakia Simba tu.Plus juzi alikuwa nabirthday sijui sherehe gani nyumbani kwake Mbezi Temboni alitumia kama milioni 50 kweli zinapatikana kuwa nyanda tu wa Simba? Yaisje yakawa ya akina Masanja Mkandamizaji hapa
kuuza unga imekuja vipi hapa?mimi nauliza tu,kwani mwanangu anapenda mpira tena ugolie kama kaseja.sasa kashaanza kataa masomo anasema soka la bongo linalipa.natafuta ushahidi wa kumkubalia au kumkatalia.Kwangu mi namheshimu hata anayeuza unga kwa sababu anatumia akili asikamatwe na aingize fedha, kuliko anayetumia akili yake kutafuta kujua utajiri wa mtu.
Unafikiri itakusaidia maishani mwako kujua utajiri wa mtu?
kuuza unga imekuja vipi hapa?mimi nauliza tu,kwani mwanangu anapenda mpira tena ugolie kama kaseja.sasa kashaanza kataa masomo anasema soka la bongo linalipa.natafuta ushahidi wa kumkubalia au kumkatalia.
Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?
Huyu mkaka ni mwanakandanda tajiri kuliko unamvyomdhania.Je utajiri huu kaupatia kwenye soka tu au kuna siri nyuma ya pazia?