Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

Wewe unamuona kama anamiliki hivyo ndio utajili na kuanza kumhisia mwenzio kuwa anauza au anafanya biashara haramu? wewe kama una ushahidi wa biashara haramu anayofanya ulete na kama huleti basi wewe wewe hufai kwenye jamii hii!! unajua kadaka mechi ngapi na kaanza mpira akiwa na umri gani? una idadi kamili ya mishahara aliyopata tokea anaanza kucheza mpira mpaka leo umejua kuwa hizo mali zake itakuwa havilingani?.wewe bana acha maneno yako fanya kazi utaona matunda yako ,na kama unafanya kazi ya kulipwa laki tatu kwa mwezi wewe utalalamika mpaka kufa.
hapo kwenye red umemaliza kila kitu..tena wanalalamika na kazi hawaachi!!
 
Uda;
mie nataka kujifunza toka kwake



Sasa kwa nini usimuulize yeye mwenyewe?
 
JUMA K JUMA..! Njoo huku upangue hoja kuwa wewe ni bunda kama Diomond alivyofanya..! JUMA Mapooower
 
Kajipendekeze ulale kwake usiku kucha atakusimulia utajiri wake kaupataje
 
unaishangaa Tanzania kwa hela chafu! hapa mbona saafi kabisa uliza watu wanaotembea kaka wakupe mikanda, nenda marekani, france, italy( kiongozi wa mamafia duniani) nk
 
Back
Top Bottom