Michelle hata wana intelijensia wamejaribu kum-kona jamaa angalau kwa kashfa yoyote ya kibiashara lakini wapi.
Kwa taarifa yako huwezi kuwa chama pinzani Tanzania tena mwiba kwa serikali na chama tawala ukawa salama kwenye biashara zako, utaandamwa kwenye kodi na mambo mengine mengi tu tena hata kubebeshwa madawa ili mradi tu wakuchafue, ila kwa bwana Mbowe hata kumpandikizia madawa imeshindikana