masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,899
- 15,126
View attachment 71410
Utajiri usio na tija unaweza kuwa kero kwa jamii.
Jama kanunua malori kwa bei mbaya lahini hana maegesho,hana gereji.
Madereva wanakaa vijiweni kusubiri amri ya bosi.
Mategemeo ya mwenye mali ni kuegesha malori yake kwenye road reserve na kuishia kuharibu miundo mbinu.
Hapo ni Mandela rodi-karibu kabisa na TANROADS.
Je huu ni ungwana?