utajiri umemlemea PINDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utajiri umemlemea PINDA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 11, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri mkuu wetu mizengo pinda kalemewa na utajiri kiasi kwamba haoni kama nchi yote wananchi wana hali ngumu ya maisha
  anajifanya kusikitika kwamba ngara hali ni mbaya zaidi wakati hata kwao sumbawanga hali ni hiyo hiyo
  wewe pinda ni mtoto wa mkulima unawezaje kuishi na mafisadi tena wewe ukiwa waziri mkuu bila kuiba au kuyafumbia macho maovu yao
  kondoo hawezi kuishi pori na wanyama mwitu watamla tu

  bora unyamaze unatuchefua wananchi
   
 2. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  source www.lifeofmshaba.com
   
 4. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo umenena, Pinda siyo Masikini na wala si mtoto wa mkulima bali ni mlezi wa Ufisadi nchini
   
 5. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda umepinda kwelikweli Umaskini si Ngara tuu bali tanzania nzima tu maskini. the issue ni kukubali matokeo CCM nchi imewashinda ondokeni jamani
   
 6. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kadiri siku zinavyozidi kwenda ndio Pinda anaonyesha upuuzi wake, mara analidanganya bunge na watanzania, mara eti rais Kikwete ni mvumilivu, mara anashanga umaskini Ngara wakati kwao Sumbawanga kuna hali mbaya pia na sehemu nyingi za Tanzania umaskini umekithiri! Halafu anashangaa wakati ni serikali ya chama chake cha mafisadi ndio imetufikisha hapo!! Kwakweli kwa sasa Pinda na Kikwete wanakera sana!!
   
 7. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kweli yeye ni mtoto wa mkulima, ila haina maana kwamba yeye pia ni mkulima.
  Kwani Lowassa na Kikwete siyo watoto wa wakulima???
  Je Sumaye pamoja na ufisadi wake si nayeye anajifanya maskini na ni mtoto wa mkulima.

  nafikiri tuko pamoja hapo
   
 8. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa kaka
   
 9. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu pinda ni mtego wa kutupata
   
 10. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Atakayepatikana hapo naye MWEHU TU!!!
   
 11. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 12. M

  MASOKO Senior Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Alikuwa anshangalia wapi mmngeniambia nimcharaze bakora
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  kikwete anamtumia pinda,.sasa hivi milawama yote inamwangukia pinda,mafisadi wamemwonjesha corrupt money na sasa haambiwi kitu,..nafikiri kuna MOU kati ya mafisadi na pinda..paka anakaa na paka,haiwezekani jk amchague pm asiye na mtazamo wa kifisadi kama yeye..is mtoto wa mkulima self titled au alipewa??
   
 14. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinda
   
 15. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mop no sorry tambala la kudekia
   
 16. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #16
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  halikua ngara kaka sijui yuko je
   
Loading...