Kule kuna camera za kiusalama ktk kila eneo lenye makutano ya barabara pamoja na njia za wavuka kwa miguu. Ukifanya ujinga habari yako utaikuta ktk mail box nyumbani kwako ndani ya masaa 24.
Marekani baadhi ya majimbo kuna button ktk nguzo za zebra endapo ukitaka kuvuka barabara, ukibonyeza kitufe baada ya sekunde kadhaa gari zinasimamishwa.