Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?
Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.
NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.

No noo ni tabia tu, some are crooks by nature hawana ustaarabu barabarani haitegemei
Post is about how environment can influence your behavior regardless of your personality, since personality isn't static.No noo ni tabia tu, some are crooks by nature hawana ustaarabu barabarani haitegemei anaendesha gari gani.
Makasiriko inakuwa mingi sioUmaskini na ustaarabu ni maji na mafuta.
Naunga mkono hojaJe utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?
Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda.
NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda.
Dereva uwe tajiri🤣🤣🤣hio kazi ulitakiwa ushaacha kitambo unapiga mishe zingine.Kweli. Kuna siku nitakuja kuwa tajiri maana huwa nikiwa naendesha hii gari ya kampuni huwa nasimama kwenye zebra watu wavuke.
Mimi sio dereva bro. Naendesha tu gari ila sio dereee. Sijui unaelewa?Dereva uwe tajiri🤣🤣🤣hio kazi ulitakiwa ushaacha kitambo unapiga mishe zingine.
Bado sijakusoma.unaendeshaje gari yakampuni usiwe dereva..Mimi sio dereva bro. Naendesha tu gari ila sio dereee. Sijui unaelewa?
Mimi ni senior manager, so napewa gari na kampuni najiendesha mwenyewe. Bado huelewi?Bado sijakusoma.unaendeshaje gari yakampuni usiwe dereva..
ahaa nunua lako meneja.usitegemee lakupewa.Mimi ni senior manager, so napewa gari na kampuni najiendesha mwenyewe. Bado huelewi?
utajiri upi, halali wa bidii, ukabaji, uporaji, rushwa, wizi, ushirikina au utajiri wa kichawi? ustaarabu wao unatofautiana sana hususani kwenye zebra...Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako?