Utajiri kazi!!!

Utajiri kazi!!!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Utajiri kazi sana
 

Attachments

  • utajirikazi.jpg
    utajirikazi.jpg
    19.5 KB · Views: 1,161
Bora kama ingeishia hapo hapo ila kuwatoa kafara na ndugu, waume, watoto, wake inauma sana. Kuna tetesi mbaya za Naibu Waziri fulani ambaye alishapigwa chini na kubaki kama mbunge kwamba naye alimtoa kafara Mume wake ili yeye apate kuwa waziri kamili, lakini nasikia hakutimiza masharti dawa zikagoma matokeo yake Mume wake msomi kawa chizi na yeye hakupata tena hata unaibu waziri, hii inasikitisha sana jamani, kama hii maneno ya kutaka madaraka na pesa ni ya kweli.
 
Angalau kuwa hamdhuru kiumbe mwenziwe katika ujinga wake!
 
sijui mtaalamu huyu anapatikana wapi, nikajifunze nami...
 
Mambo ya Msoga hayo; nyie fanyeni utani wenzenu ndivyo wanavyotawala nchi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom