Bora kama ingeishia hapo hapo ila kuwatoa kafara na ndugu, waume, watoto, wake inauma sana. Kuna tetesi mbaya za Naibu Waziri fulani ambaye alishapigwa chini na kubaki kama mbunge kwamba naye alimtoa kafara Mume wake ili yeye apate kuwa waziri kamili, lakini nasikia hakutimiza masharti dawa zikagoma matokeo yake Mume wake msomi kawa chizi na yeye hakupata tena hata unaibu waziri, hii inasikitisha sana jamani, kama hii maneno ya kutaka madaraka na pesa ni ya kweli.