hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 490
- 459
Ushawahi kujiuliza utajiri maana yake nini?
Kwa mujibu wa biblia solomoni alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu, madini, wanawake na hekima.
Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa akiwa na uhakika wa ufalme wake kigawanyika uzao wake ukibaki na koo mbili tu za yuda na benyamini. Alikufa na majuto mpaka kuandika kitabu cha mhubiri chenye msemo maarufu wa hakuna jipya chini ya jua.
Kwa mtazamo wangu Adam alikua tajiri sana japo aliranda bila nguo kabla ya anguka, hakuwa na ubinafsi wa ziada. Hakuihitajia zaidi ya chakula na malazi mpaka pale alipokuja hawa na kumuangusha dhambini NA HUO UKAWA MWANZO WA "Kutengenezwa kwa uhitaji yaani demand.
Demand is created by fake illusion of wanting to fullfill desires
USHAWAHI KUJIULIZA MAGARI MATANO YA NINI IKIWA HUEZI ENDESHA YOTE AT ONCE.