Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
pole sana
Habari ndiyo hiyo!Sijawaza
...eti eeehHabari ndiyo hiyo!
Sijakuelewa mkuu.ulipoamkia najua sio nyumbani
Watoto hawa bwana,kula wanakula,kulala wanalala,kuvaa wanavaa lakini dooooo malai.y,,iia
hata sijakuelewa...
Wewe ujifanyae kidume cha mbegu Binukabinuka, ubinukavyo!
Rukaruka, urukavyo!
Jirushejirushe,
ujirushavyo!
Jipaishe,
ujiparishavyo!
Kumbuka Mambupu hayatodondoka!
Wewe ujifanyae kidume cha mbegu Binukabinuka, ubinukavyo!
Rukaruka, urukavyo!
Jirushejirushe,
ujirushavyo!
Jipaishe,
ujiparishavyo!
Kumbuka Mambupu hayatodondoka!
aaah watu tunawaza pesa mkuu we unaongelea juliana shonza?tushaona maria mwakijamba huku!mwenzio nilimaanisha juliana shonza,anaye nifanya niweweseke usiku kucha kwa ajili yake.