Sidhani, wao na sisi "ndoto ya kuwa pamoja" itimie?Hamna jipya haya unayoyaongea tulishayafanya na mpaka sasa tunajaribu lakini haitawezekana kwasababu ya tofauti zetu za kijamii,mila na desturi, malengo ya kiuchumi ,kisiasa na ubinafsi ndani yake.
Hujiulizi leo hii kwanini Britain anajitoa katika umoja wa ulaya.? Tuendelee kuvumiliana labda siku moja ndoto yakuwa pamoja itatimia.
Hamna jipya haya unayoyaongea tulishayafanya na mpaka sasa tunajaribu lakini haitawezekana kwasababu ya tofauti zetu za kijamii,mila na desturi, malengo ya kiuchumi ,kisiasa na ubinafsi ndani yake.
Hujiulizi leo hii kwanini Britain anajitoa katika umoja wa ulaya.? Tuendelee kuvumiliana labda siku moja ndoto yakuwa pamoja itatimia.
Kamlilie Jomo na Njonjo hayo unayoota wakati huu.
Naona kuna kitu kinawasumbua sana watu wa nchi ile, maana hamtulii; ni kama kuna kitu kinachowaogopesha sana juu ya maisha ya nchi yenu hiyo.
Sijui ni kitu gani hicho.
Umemjibu vyema Kamundu maana kakurupuka bila kufanya utafitiHamna jipya haya unayoyaongea tulishayafanya na mpaka sasa tunajaribu lakini haitawezekana kwasababu ya tofauti zetu za kijamii,mila na desturi, malengo ya kiuchumi ,kisiasa na ubinafsi ndani yake.
Hujiulizi leo hii kwanini Britain anajitoa katika umoja wa ulaya.? Tuendelee kuvumiliana labda siku moja ndoto yakuwa pamoja itatimia.
"Ndiyo maana nchi yetu iko hapa leo"? Nchi 'isiyokuwa hapa leo' ni nchi gani, ile uliyoikimbia?Hakuna chochote zaidi na negativity uliyonayo. Ukiwa negative kila kitu utatafuta cha kulaumu au kulalamika ndiyo maana nchi yetu iko hapa leo.
Sasa tuambie: "ulipoishi Bongo ulimwona mzawa wa huko mbali Kigoma", ulimwona huyo mkigoma akiwa na kisababu cha "kumwogopa mtu kutoka Laikipia?"Hapa EAC siku tutakuja kubuni mtaala wa pamoja ndio huu uwoga wa kuogopana utaisha, mzawa wa huko mbali Kigoma akiwa kwenye level moja kielimu na mzawa wa huku Kenya maeneo ya mbali kama vile Laikipia, hapo hapatakua na kijisababu cha kuogopana. Nimeishi Bongo, nimekatiza mikoa na wilaya nyingi sana, sijaona chochote tofauti na kwetu huku, masela mitaani ni wale wale, vijana vijiweni pande zote mbili hujadili yale yale tu ya akina Manchester United sijui Arsenal.
Na nchi moja wanayouana kwa tofauti za kisiasa Je ?!Huko Kenya undokaneni na ukabila wenu kwanza ndo tunaweza kukaa meza moja kujadiliana. Hatuwezi kuwa nchi moja na watu wanaouana kwa sababu ya kuwa makabila tofauti.
Sasa tuambie: "ulipoishi Bongo ulimwona mzawa wa huko mbali Kigoma", ulimwona huyo mkigoma akiwa na kisababu cha "kumwogopa mtu kutoka Laikipia?"
Na mtu wa kule Kwale au Kilifi, hapana, hata pale Baringo na sehemu nyingi tu huko Kenya yupo 'level' gani kielimu na mzawa wa huku Tanzania??
Ni vitu kama hivi msivyovitambua kuwa vinawasumbua sana watu wa huko, kiasi kwamba mnajisahau na kudhani nyinyi ni bora zaidi ya wengine, kumbe hamna lolote. Uoga wenu ndio unaowafanya mhangaike na vijimada visivyokuwa na mbele wala nyuma kama hii hapa.
One China Policy inaelekea kuwaumbua Unaona kinachoendelea pale Hong Kong?Mimi Mkenya hapa, ila huu uzi ukijadiliwa na great thinkers wasiokua wazembe wa kushirikisha ubongo unaweza ukawa uzi muhimu sana JF. Afrika yote hii kinachotukwamisha ni hii mipaka ya mkoloni, hatuna nguvu ya wingi au volume inayotumika na walioendelea, kwa mfano China wale wako bilioni moja, yaani ukikuza matikiti yako uko na uhakika wa soko la watu bilioni ambao unaweza ukawafikia bila kikwazo, Marekani wako zaidi ya milioni mia tatu, watu wote hao kama soko moja...
Ndoto haiwezi kutimia kwa kutarajia itimie mkuu. Inabidi uifanyie kazi. Kama kitu kinamanufaa kwanini usikifanyie kazi?Hamna jipya haya unayoyaongea tulishayafanya na mpaka sasa tunajaribu lakini haitawezekana kwasababu ya tofauti zetu za kijamii,mila na desturi, malengo ya kiuchumi ,kisiasa na ubinafsi ndani yake.
Hujiulizi leo hii kwanini Britain anajitoa katika umoja wa ulaya.? Tuendelee kuvumiliana labda siku moja ndoto yakuwa pamoja itatimia.