Utagunduaje kuwa msichana uliyekuwa mbali nae alikusaliti?

Haya sasa majaribu... na Thank you for the post... for inakumbusha ni nyakati za ku log out.... Dah!

Huyo nae, saa ingine mwanamke anakuwa hajakutana na mwanaume kwa kipindi kirefu, kwa hiyo siku anakutana nae anakuwa weti sana
na ujue kabisa kama hujakutana nae muda af unakuta mkavu ujue hakufeel, watu wako tofauti lakini, mi huyu jamaa nikiwa sijaonana nae
nikakutana nae maybe karudi safari af niwe mkavu, nitanuniwaje?

Inamana huyo rafiki yako yeye hajamsaliti huyu mdada huko South Africa? au huyo dada nae anampimaje huyu fariki yako kama hajamsaliti? kwanza kamuoa? mijiti mengine bwana ndio mana wanaekewa Bikra fake kwa midomo yao,au anakwambia wewe mambo kama hayo ya ndani wewe unamwambia mwanamke wako yukoje? mwambie awe mstarabu....

Kwanza ushauri wa Blackbery ni mzuri kiasi,lakini kwenye mambo haya mara nyingi mlalamikaji huwa ndo mwenye matatizo,atafute namna nzuri ya kufikiri!

What if alikuwa anatumia dildo kama yeye alivokuwa anapiga nyeto??????? Na yenyewe ni cheating???

Si aangalie mawasiliano yake ya simu yaani akae nae muda mwingi au achungulie aache kujirusha moyo

Hizi k**a zote sio sawa. Labda kazoea ya aina hiyo.

Ila duh kazi anayo

Anakuwa tu kam miss mpenzi wake jamani, kuweni watu wazima, yaani hujafanya tendo muda wote huo then uwe mkavu????

Anakuwa tu kam miss mpenzi wake jamani, kuweni watu wazima, yaani hujafanya tendo muda wote huo then uwe mkavu????

Mtu huyu anajua mali yake ilivyo na hata wewe huwezi sema kitu humu hata kama unajiona mtu uzima. Sio wewe sio chako. na lazima huyu mdau hajaambiwa yote na muhusika kama kuna mengine yamemfanya ashtuke

Mbona wanawake wengi wana(MNA) cheat na waume hawanotice?

Wewe huna utu uzima rudi shule ya mambo haya au mafunzoni kp haisaidiiii

Duh nimekuwa mswahili lol

Huyo nae, saa ingine mwanamke anakuwa hajakutana na mwanaume kwa kipindi kirefu, kwa hiyo siku anakutana nae anakuwa weti sana

na ujue kabisa kama hujakutana nae muda af unakuta mkavu ujue hakufeel, watu wako tofauti lakini, mi huyu jamaa nikiwa sijaonana nae

nikakutana nae maybe karudi safari af niwe mkavu, nitanuniwaje?
Tnx mwaya!

Inamana huyo rafiki yako yeye hajamsaliti huyu mdada huko South Africa? au huyo dada nae anampimaje huyu fariki yako kama hajamsaliti? kwanza kamuoa? mijiti mengine bwana ndio mana wanaekewa Bikra fake kwa midomo yao,au anakwambia wewe mambo kama hayo ya ndani wewe unamwambia mwanamke wako yukoje? mwambie awe mstarabu....
Mmmh....!

Mueleweni jamaa tatizo sio u wet wa pussy kwani yaweza kuwa wet na uka feel tightness especial @ da begnng of da gam lakini mh! mtu mzima lisemwalo !...

Haya sasa majaribu... na Thank you for the post... for inakumbusha ni nyakati za ku log out.... Dah!

watakuvurugia swaumu hawa, haujui kuwa ile kitu ni elastic? Hahahahahahaaa! So strange.

Huyo nae, saa ingine mwanamke anakuwa hajakutana na mwanaume kwa kipindi kirefu, kwa hiyo siku anakutana nae anakuwa weti sana

na ujue kabisa kama hujakutana nae muda af unakuta mkavu ujue hakufeel, watu wako tofauti lakini, mi huyu jamaa nikiwa sijaonana nae

nikakutana nae maybe karudi safari af niwe mkavu, nitanuniwaje?

dah hadi raha! Unanipa hamu bibie.

Jamaa yangu nikupashe!!!
Badala ya kumchukia demu wako unapaswa umpende sana. hawa wapenzi wetu unapokutana nao unapaswa kuwajua vizuri vinginevyo unaweza kutafsiri vibaya responce zao. kwa wanawake kujiachia/kutanuka kwa vigina wakati wa tendo la ndoa hutegemea sana amehamasika kiasi gani kwako. sanjari na kutokwa na lubricants au ute. unapomkabili mwenzi wako ukapata taabu ya kuingia basi ujue hajajisikia. Pole kijana mpende demu wako kwa sababu kama ungepata taabu ya kumuingilia au uchi mkavu kupita kiasi ningesema hapati msisimko anapokutana na wewe.
Amani

Saa ingne haya mambo mwachie Mungu tu; ukitaka kuchunguza kila kitu waweza kupata kichaa kwa sababu Inawezekana hayo unayohisi si ya kweli, lakini kwa kuwa unahisi hivyo, then hutaamini kama si ya kweli. pili inawezekana unayohisi ni ya kweli lakini namna ya kujua kuwa ni kweli, ni ngumu. Tatu, je wewe ukoje? au ndio mkuki kwa nguruwe?Masuala yote ongea na mwenzio, sio kuyatoa nje

Back
Top Bottom