YAANI TUULIZE TU!!....NINI KILIFANYIKA JUU YA WALE WALIOKAMATWA MAKONTENA KULE MWANZO???......HATUKUELEZWA YALIKUWA YA NANI NA WALIFUNGWA WAPI!!....HIZI KONTENA ZA MICHANGA YA MADINI ZIMEANZA LEO??....MBAONA ALIKUWA ANAJUA HILO HATA KABLA YA UCHAGUZI!!CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA....KILA WAKATI KUNA KONTENA ZINAIBULIWA...SASAAA......HIZO AMBAZO ZINAPITA BILA KUJULIKANA NI NGAPI??....HAPA MIMI NAONA WATU WALIOSHINDWA KAZI TU NA IKITOKEA BAHATI ZAO BASI INAKUWA SIFA TELE!!