Ni uongo' kwa jinsi mfumo wa break unavyofanya kazi hilo suala ni haliwezekani kwasababu
leakage yeyote ikitokea kwenye mfumo itapunguza ujazo wa fluid ambayo itasababisha taa ya break fluid kuwaka na dereva ataona
Pia pakiwa na leakage yeyote kwenye mfumo ukikanyaga pedal ya break itakuwa inaendelea kushuka tu haisimami, inategemea na ukuwa wa leakage.
Nijuavyo mimi madereva wanaoanza kazi kwanza hawana uzoefu na pia hawajui dalili zozote za tatizo linaloanza ktk gari' ni mpaka tatizo liwe kubwa sana ndo atajua au apate ajali.
Hii haina tofauti yeyote na zile ajali zinazotokea mwezi 12, wengi wananunua magari na kuyatumia mijini na ikifika xmxss wanayaendesha kwenda makwao. Wanakosa uzoefu overtake alizokuwa anafanya akiwa dar anaendelea kufanya akiwa high way!
Matokeo yake anasema kalogwa, kama mleta mada!